forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
679 B
Markdown
20 lines
679 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Hii inaendeleza ujumbe wa Yahwe, uliotolewa kwa Isaya, nabii, kwa ajili ya Mfalme Hezekia kuhusiana na Mfalme Senakeribu.
|
||
|
|
||
|
# hukusikia jinsi ... zamani?
|
||
|
|
||
|
Kufanya hatua imara hili swali linasadiki msikilizaji kujua jibu. "Hakika unajua jinsi ... zamani."
|
||
|
|
||
|
# miji isiyoingilika
|
||
|
|
||
|
"miji ambayo haiwezi kunyakuliwa" au "miji iliyzizunguka kuta ndefu" (UDB)
|
||
|
|
||
|
# mimea katika shamba, majani ya kijani
|
||
|
|
||
|
Hii picha inalinganisha majanga dhaifu ya Ashuru mimea dhaifu kuendelea. "kama mimea dhaifu na majani katika shamba" (UDB)
|
||
|
|
||
|
# majani juu kwenye dari au kwenye shamba, lililochomwa kabla halijakua
|
||
|
|
||
|
Hii inaendeleza kulinganisha picha ya waathiriwa dhaifu wa Ashuru.
|