sw_tn/2ki/19/23.md

458 B

Maelezo ya Jumla:

Hii inaendeleza ujumbe kutoka kwa Yahwe uliotolewa kwa Isaya, nabii, kwa Mfalme Hezekia kuhusiana na Mfalme Senakeribu.

mmemnajisi Yahwe

Ku "asi" ni kukataa kwa uwazi au dhihaka.

nimepanda ... nitaangusha chini ... nitaingia

Haya majivuno yalifanywa na Senakeribu yangeweza kukamilishwa na jeshi lake.

Nimekausha mito yote ya Misri chini ya soli ya miguu yangu

"Na kwa kutembea kupitia kijito cha Misri, tumevikausha vyote!"