sw_tn/2ki/19/23.md

16 lines
458 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Hii inaendeleza ujumbe kutoka kwa Yahwe uliotolewa kwa Isaya, nabii, kwa Mfalme Hezekia kuhusiana na Mfalme Senakeribu.
# mmemnajisi Yahwe
Ku "asi" ni kukataa kwa uwazi au dhihaka.
# nimepanda ... nitaangusha chini ... nitaingia
Haya majivuno yalifanywa na Senakeribu yangeweza kukamilishwa na jeshi lake.
# Nimekausha mito yote ya Misri chini ya soli ya miguu yangu
"Na kwa kutembea kupitia kijito cha Misri, tumevikausha vyote!"