forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
562 B
Markdown
12 lines
562 B
Markdown
# Eliakimu ... Hilkia ... Shebna ... Joa
|
|
|
|
Haya ni majina ya wanaume
|
|
|
|
# katika masikio ya watu walio juu ya ukuta
|
|
|
|
"Katika maskio" ni picha ya kuweza kusikiliza. "kwa sababu watu wamesimama juu ya ukuta wataisikia na kuogopa"
|
|
|
|
# Je bwana wangu amenituma kwa bwana wako na kuwachukua kuongea haya maneno? Je hajanituma kwa hawa watu ambao wameketi kwenye ukuta, ambao watakula kinyesi chao na kunywa mkojo wao wenyewe?
|
|
|
|
Anauliza haya maswali kuwahakikishia wasomaji kujua majibu kusisitiza kusudi lao kuwaangamiza na kuwadhililisha viongozi na watu wa Yerusalemu.
|