sw_tn/2ki/18/26.md

562 B

Eliakimu ... Hilkia ... Shebna ... Joa

Haya ni majina ya wanaume

katika masikio ya watu walio juu ya ukuta

"Katika maskio" ni picha ya kuweza kusikiliza. "kwa sababu watu wamesimama juu ya ukuta wataisikia na kuogopa"

Je bwana wangu amenituma kwa bwana wako na kuwachukua kuongea haya maneno? Je hajanituma kwa hawa watu ambao wameketi kwenye ukuta, ambao watakula kinyesi chao na kunywa mkojo wao wenyewe?

Anauliza haya maswali kuwahakikishia wasomaji kujua majibu kusisitiza kusudi lao kuwaangamiza na kuwadhililisha viongozi na watu wa Yerusalemu.