sw_tn/2ki/18/16.md

747 B

mfalme wa Ashuru akalihamasisha jeshi lake kubwa, akawatuma Tartani na Rabsarisi na amiri jeshi mkuu

Senakeribu alipeleka kundi la watu kutoka jeshi lake kwenda Yerusalemu kuonana pamoja na Mfalme Hezekia, pamoja na maafisa waitwao Tartani na Robsarisi.

Tartani ... Rabsarisi

Baadhi ya Biblia zinatafsiri haya kama majina pekee. Matoleo mengine ya Biblia yanayatafsiri kama vyeo. "Tartani ... Rabsarisi" au "kiongozi wa askari ...afisa wa mahakama"

Lakishi

Hili ni jina la mji.

mfereji wa bwawa la juu

mfeji ambapo maji yalihifadhiwa katika "bwawa la juu" ububujikao kwenda mji wa Yerusalemu

kusimama huko

"na kumsubiri mfalme Ahazi huko kuonana nao"

Eliakimu ... Hilkia ... Shebna ... Joa ... Asafu

Haya ni majina ya watu.