sw_tn/2ki/18/16.md

24 lines
747 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mfalme wa Ashuru akalihamasisha jeshi lake kubwa, akawatuma Tartani na Rabsarisi na amiri jeshi mkuu
Senakeribu alipeleka kundi la watu kutoka jeshi lake kwenda Yerusalemu kuonana pamoja na Mfalme Hezekia, pamoja na maafisa waitwao Tartani na Robsarisi.
# Tartani ... Rabsarisi
Baadhi ya Biblia zinatafsiri haya kama majina pekee. Matoleo mengine ya Biblia yanayatafsiri kama vyeo. "Tartani ... Rabsarisi" au "kiongozi wa askari ...afisa wa mahakama"
# Lakishi
Hili ni jina la mji.
# mfereji wa bwawa la juu
mfeji ambapo maji yalihifadhiwa katika "bwawa la juu" ububujikao kwenda mji wa Yerusalemu
# kusimama huko
"na kumsubiri mfalme Ahazi huko kuonana nao"
# Eliakimu ... Hilkia ... Shebna ... Joa ... Asafu
Haya ni majina ya watu.