sw_tn/2ki/17/34.md

8 lines
244 B
Markdown

# wameshikilia tamaduni zao
"waliendelea katika tabia zao zile zile kama zamani."
# Wala hawamwogopi Yahwe
Watu walivutiwa na kumpendeza Yahwe pekee. Wala hawakuwa na shauku wala kutokuwa makini Yahwe alikuwa na shauku katika mahusiano nao.