sw_tn/2ki/17/34.md

244 B

wameshikilia tamaduni zao

"waliendelea katika tabia zao zile zile kama zamani."

Wala hawamwogopi Yahwe

Watu walivutiwa na kumpendeza Yahwe pekee. Wala hawakuwa na shauku wala kutokuwa makini Yahwe alikuwa na shauku katika mahusiano nao.