sw_tn/2ki/17/24.md

607 B

Maelezo ya Jumla:

Hukumu ya Yahwe inaendelea juu ya wenyeji wa Waashuru mpya waliozoea dini zao za kipagani.

Kuthi ... Ava ... Hamathi ... Sefarvaimu

Hizi ni sehemu katika ufalme wa Kiashuru.

Ilitokea mwanzoni mwa makazi yao huko

"Wakati hao watu walipoishi kwa mara ya kwamnza huko"

Mataifa uliyoyachukua na kuyaweka katika miji ya Samaria

"Watu uliowaondoa kutoka nchi nyingine na kuwapeleka kuishi katika miji ya Samaria"

hawakujua yale mambo waliyokuwa wanatakiwa kuyafanya kwa mungu wa nchi

"hawakujua jinsi ya kumwabudu Mungu ambaye aliyeabudiwa na Waisraeli katika hii nchi" (UDB)