sw_tn/2ki/17/24.md

20 lines
607 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Hukumu ya Yahwe inaendelea juu ya wenyeji wa Waashuru mpya waliozoea dini zao za kipagani.
# Kuthi ... Ava ... Hamathi ... Sefarvaimu
Hizi ni sehemu katika ufalme wa Kiashuru.
# Ilitokea mwanzoni mwa makazi yao huko
"Wakati hao watu walipoishi kwa mara ya kwamnza huko"
# Mataifa uliyoyachukua na kuyaweka katika miji ya Samaria
"Watu uliowaondoa kutoka nchi nyingine na kuwapeleka kuishi katika miji ya Samaria"
# hawakujua yale mambo waliyokuwa wanatakiwa kuyafanya kwa mungu wa nchi
"hawakujua jinsi ya kumwabudu Mungu ambaye aliyeabudiwa na Waisraeli katika hii nchi" (UDB)