sw_tn/2ki/17/11.md

12 lines
385 B
Markdown

# Maelezo ya Umla:
Hii hadithi inaendelea kufupishwa hukumu ya Yahwe juu ya Israeli.
# kufanya mambo maovu kuchochea hasira ya Yahwe
Njia ziwezekanazo kuonyesha hii: 1) "kufanya mambo mengi maovu yaliyomfanya Yahwe kuwa na hasira" (UDB) au 2) "kufanya mambo ya dhambi yaliyomfanya Yahwe kukasirika"
# kuhusu zile Yahwe alizokuwa amewaambia
"kuhusu zile Yahwe alizokuwa amewaonya"