sw_tn/2ki/17/11.md

385 B

Maelezo ya Umla:

Hii hadithi inaendelea kufupishwa hukumu ya Yahwe juu ya Israeli.

kufanya mambo maovu kuchochea hasira ya Yahwe

Njia ziwezekanazo kuonyesha hii: 1) "kufanya mambo mengi maovu yaliyomfanya Yahwe kuwa na hasira" (UDB) au 2) "kufanya mambo ya dhambi yaliyomfanya Yahwe kukasirika"

kuhusu zile Yahwe alizokuwa amewaambia

"kuhusu zile Yahwe alizokuwa amewaonya"