sw_tn/2ki/17/04.md

474 B

So

Hili ni jina la mwanamume.

mwaka kwa mwaka

"kila mwaka" (UDB)

akamfunga na kumfungia katika gereza

"kumuweka Hoshea katika gereza" (UDB)

kuizingira

kuweka majeshi kuzunguka mji kwa ajili ya kuulzimisha kujisalimisha

kuichukua Israeli kwenda Shuru

Jina "Israeli" ni mfano kwa ajili ya watu wanaoishi huko. "kuwachukua Waisraeli kwenda Ashuru" (UDB)

Hala ... Mto Habori ... Gozani

Haya ni majina ya maeneo.

Waamedi

Hili ni jina la kundi la watu.