# So Hili ni jina la mwanamume. # mwaka kwa mwaka "kila mwaka" (UDB) # akamfunga na kumfungia katika gereza "kumuweka Hoshea katika gereza" (UDB) # kuizingira kuweka majeshi kuzunguka mji kwa ajili ya kuulzimisha kujisalimisha # kuichukua Israeli kwenda Shuru Jina "Israeli" ni mfano kwa ajili ya watu wanaoishi huko. "kuwachukua Waisraeli kwenda Ashuru" (UDB) # Hala ... Mto Habori ... Gozani Haya ni majina ya maeneo. # Waamedi Hili ni jina la kundi la watu.