|
# madhabahu kubwa
|
|
|
|
Hii inarejea kwa madhabahu ambayo Ahazi alimwambia Uria kuijenga.
|
|
|
|
# sadaka ya kuteketeza ya mfalme na sadaka ya unga
|
|
|
|
Wakati Ahazi aliposema "mfalme" na "vyake," alikuwa akijirejea yeye mwenyewe. "sadaka yangu ya kuteketeza na sadaka yangu ya unga"
|