sw_tn/2ki/16/15.md

269 B

madhabahu kubwa

Hii inarejea kwa madhabahu ambayo Ahazi alimwambia Uria kuijenga.

sadaka ya kuteketeza ya mfalme na sadaka ya unga

Wakati Ahazi aliposema "mfalme" na "vyake," alikuwa akijirejea yeye mwenyewe. "sadaka yangu ya kuteketeza na sadaka yangu ya unga"