forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
851 B
Markdown
20 lines
851 B
Markdown
# Katika mwaka wa thelathini na nane wa Azaria mfalme wa Yuda
|
|
|
|
mwaka wa tisa wa Azaria mfalme wa Yuda -Inaweza kuwekwa wazi kwamba huu ni mwaka wa thelathini na tisa wa utawala wake. "Katika mwaka wa 39 wa utawala wa Azaria mfalme wa Yuda"
|
|
|
|
# yale yaliyo maovu usoni mwa Yahwe
|
|
|
|
Uso wa Yahwe unawakilisha hukumu ya Yahwe. "yale yaliyo maovu katika hukumu ya Yahwe"
|
|
|
|
# Katika maisha yake yote
|
|
|
|
"maisha" inaweza kutafsiriwa pamoja na kitenzi "kuishi." "Wakati wote ambao aliishi"
|
|
|
|
# hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati
|
|
|
|
Kuacha dhambi inawakilisha kukataa kuzifanya hizo dhambi. "Zekaria hakukataa kufanya dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati" au "Aliasi kama Yeroboamu mwana wa Nebati alivyoasi"
|
|
|
|
# aliyekuwa ameifanya israeli kuasi
|
|
|
|
Hapa neno "Israeli" linawakilisha watu wa ufalme wa israeli. "walikuwa wamewasababisha watu wa Israeli kuasi"
|