sw_tn/2ki/15/17.md

851 B

Katika mwaka wa thelathini na nane wa Azaria mfalme wa Yuda

mwaka wa tisa wa Azaria mfalme wa Yuda -Inaweza kuwekwa wazi kwamba huu ni mwaka wa thelathini na tisa wa utawala wake. "Katika mwaka wa 39 wa utawala wa Azaria mfalme wa Yuda"

yale yaliyo maovu usoni mwa Yahwe

Uso wa Yahwe unawakilisha hukumu ya Yahwe. "yale yaliyo maovu katika hukumu ya Yahwe"

Katika maisha yake yote

"maisha" inaweza kutafsiriwa pamoja na kitenzi "kuishi." "Wakati wote ambao aliishi"

hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati

Kuacha dhambi inawakilisha kukataa kuzifanya hizo dhambi. "Zekaria hakukataa kufanya dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati" au "Aliasi kama Yeroboamu mwana wa Nebati alivyoasi"

aliyekuwa ameifanya israeli kuasi

Hapa neno "Israeli" linawakilisha watu wa ufalme wa israeli. "walikuwa wamewasababisha watu wa Israeli kuasi"