sw_tn/2ki/14/23.md

817 B

Maelezo ya Jumla:

Hii inaeleza kile Mfalme Uzia alichokifanya baada ya kuwa mfalme.

Katika mwaka wa kumi na tano wa Amazia

"katika mwaka wa 15 wa Amzia"

miaka arobaini na moja

mwaka mmoja - "miaka 41"

uovu katika uso wa Yahwe

Hapa "uso" ni picha kwa ajili ya kuhukumu. "uovu kulingana na Yahwe"

Hakuziacha dhambi yoyote ya kutoka kwa Yeroboamu

Kuacha kuasi imezungumziwa kama kupita njia. Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "Hakuacha kufanya dhambi kama dhambi za Yeroboamu" au "Aliendelea kufanya dhambi kama dhambi za Yeroboamu"

Akarudisha mipaka

Hii inamaanisha jeshi lake lilirudisha nchi hata kwenye mpaka. "Maaskari wake wakayashinda baadhi ya maeneo yaliyokuwa yamemilikiwa na Israeli"

Lebo Hamathi

Huu mji pia ulikuwa unaitwa Hamathi.

Bahari ya Araba

"Bahari mfu" (UDB)