Hapa "uso" ni picha kwa ajili ya kuhukumu. "uovu kulingana na Yahwe"
# Hakuziacha dhambi yoyote ya kutoka kwa Yeroboamu
Kuacha kuasi imezungumziwa kama kupita njia. Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "Hakuacha kufanya dhambi kama dhambi za Yeroboamu" au "Aliendelea kufanya dhambi kama dhambi za Yeroboamu"
# Akarudisha mipaka
Hii inamaanisha jeshi lake lilirudisha nchi hata kwenye mpaka. "Maaskari wake wakayashinda baadhi ya maeneo yaliyokuwa yamemilikiwa na Israeli"