sw_tn/2ki/14/17.md

589 B

je hayakuandikwa kwenye kitabu cha matukio ya mfalme wa Yuda?

Hili swali limetumika kuwakumbusha wasomaji kwamba haya mambo yamehifadhiwa. "yameandikwa katika kitabu cha historia cha Wafalme wa Yuda."

Wakafanya njama dhidi ya Amazia katika Yerusalimu

Njama ni mpango wa siri wa kuleta madhara kwa mtu au kitu. "Baadhi ya watu katika Yerusalemu walifanya njama juu ya Amazia"

Lakishi

Huu ni mji katika kusini ya magharibi mwa Yuda.

lakini walipeleka watu baada ya yeye kwenda Lakishi

Watu waliokuwa wametengeneza njama waliwatuma watu wengine kumfuata Amazia kwenda Lakishi.