sw_tn/2ki/14/17.md

16 lines
589 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# je hayakuandikwa kwenye kitabu cha matukio ya mfalme wa Yuda?
Hili swali limetumika kuwakumbusha wasomaji kwamba haya mambo yamehifadhiwa. "yameandikwa katika kitabu cha historia cha Wafalme wa Yuda."
# Wakafanya njama dhidi ya Amazia katika Yerusalimu
Njama ni mpango wa siri wa kuleta madhara kwa mtu au kitu. "Baadhi ya watu katika Yerusalemu walifanya njama juu ya Amazia"
# Lakishi
Huu ni mji katika kusini ya magharibi mwa Yuda.
# lakini walipeleka watu baada ya yeye kwenda Lakishi
Watu waliokuwa wametengeneza njama waliwatuma watu wengine kumfuata Amazia kwenda Lakishi.