forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
403 B
Markdown
12 lines
403 B
Markdown
# je hayakuandikwa kwenye kitabu cha matukio ya mfalme wa Israeli?
|
|
|
|
Hili swali limetumika kumkumbusha msomaji kwamba matendo ya Yehoahazi yamehifadhiwa katika kitabu kingine. "yameandikwa katika Kitabu cha matukio ya wafalme wa Israeli."
|
|
|
|
# Kisha Yehoashi akalala na wazee wake
|
|
|
|
Hii ni heshima kusema kwamba alikufa. "Kisha Yehoashi akafa"
|
|
|
|
# akawa mfalme katika eneo lake
|
|
|
|
"akawa mfalme baada ya yeye"
|