sw_tn/2ki/14/15.md

403 B

je hayakuandikwa kwenye kitabu cha matukio ya mfalme wa Israeli?

Hili swali limetumika kumkumbusha msomaji kwamba matendo ya Yehoahazi yamehifadhiwa katika kitabu kingine. "yameandikwa katika Kitabu cha matukio ya wafalme wa Israeli."

Kisha Yehoashi akalala na wazee wake

Hii ni heshima kusema kwamba alikufa. "Kisha Yehoashi akafa"

akawa mfalme katika eneo lake

"akawa mfalme baada ya yeye"