sw_tn/2ki/13/14.md

564 B

omboleza juu yake

"omboleza kwa sababu Elisha alikuwa anaumwa"

Baba yangu, baba yangu

Elisha hakuwa baba wa mfalme halisi. Mfalme Yoashi alitumia hili neno kama alama ya heshima.

magari ya farasi ya Israeli na hawa waendesha farasi wanakuchukua

Hii ni kumbukumbu kwa Elisha kwanda mbinguni katika 2:11. Yoashi anatumika hili neno kusema kwamba Elisha alikwa anaenda kufa. "magari ya farasi ya Israeli na waendesha farasi wanakuchukua kwenda mbinguni"

waendesha farasi

Hii inarejea kwa watu waliokuwa wakiendesha farasi. "waendesha magari ya farasi"