# omboleza juu yake "omboleza kwa sababu Elisha alikuwa anaumwa" # Baba yangu, baba yangu Elisha hakuwa baba wa mfalme halisi. Mfalme Yoashi alitumia hili neno kama alama ya heshima. # magari ya farasi ya Israeli na hawa waendesha farasi wanakuchukua Hii ni kumbukumbu kwa Elisha kwanda mbinguni katika 2:11. Yoashi anatumika hili neno kusema kwamba Elisha alikwa anaenda kufa. "magari ya farasi ya Israeli na waendesha farasi wanakuchukua kwenda mbinguni" # waendesha farasi Hii inarejea kwa watu waliokuwa wakiendesha farasi. "waendesha magari ya farasi"