sw_tn/2ki/13/08.md

363 B

je hayakuandikwa kwenye kitabu cha matukio ya wafalme wa Israeli?

Hili swali limetumika kumkumbusha msomaji kwamba matendo ya Yehoahazi yameandikwa kwenye kitabu kingine. Ona jinsi hili neno lilivyotafsiriwa katika 1:17. "yameandikwa katika Kitabu cha matukio ya wafalme wa Israeli."

akalala na mababu zake

Hii ni njia ya heshima ya kusema kwamba amekufa.