sw_tn/2ki/13/08.md

8 lines
363 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# je hayakuandikwa kwenye kitabu cha matukio ya wafalme wa Israeli?
Hili swali limetumika kumkumbusha msomaji kwamba matendo ya Yehoahazi yameandikwa kwenye kitabu kingine. Ona jinsi hili neno lilivyotafsiriwa katika 1:17. "yameandikwa katika Kitabu cha matukio ya wafalme wa Israeli."
# akalala na mababu zake
Hii ni njia ya heshima ya kusema kwamba amekufa.