sw_tn/2ki/13/01.md

862 B

Katika mwaka wa ishirini na tatu wa Yoashi mwana wa Ahazia mfalme wa Yuda

mwaka wa tatu wa Yoashi mwana wa Ahazia mfalme wa Yuda - "Baada ya Yoashi alipokuwa akitawala Yuda kwa takribani miaka 23"

kutawala juu ya Israeli katika Samaria

"tawala juu ya ufalme wa Israeli iliyopo katika Samaria"

alitawala miaka kumi na saba

"Yehoahazi alikuwa mfalme kwa miaka 17"

Alifanya yale yaliyo maovu usoni mwa Yahwe

Hapa "katika uso wa" inarejea kwa maoni ya Yahwe. "Alifanya yale yaliyo maovu kulingana na Yahwe"

kufuata dhambi za Yeroboamu

"kufanya dhambi zile zile kama Yeroboamu"

Yehoahazi hakugeuka kutoka kwao

Hapa kusimama dhambi yake inazungumziwa kana kwamba amerudi kutoka kwao. Hii pia inaweza kuelezwa katika muundo chanya. "Yehoyazi hakuacha kufanya dhambi za Yeroboamu" au "Yehoyazi aliendelea kufanya dhambi zile zile kama Yeroboamu"