"tawala juu ya ufalme wa Israeli iliyopo katika Samaria"
# alitawala miaka kumi na saba
"Yehoahazi alikuwa mfalme kwa miaka 17"
# Alifanya yale yaliyo maovu usoni mwa Yahwe
Hapa "katika uso wa" inarejea kwa maoni ya Yahwe. "Alifanya yale yaliyo maovu kulingana na Yahwe"
# kufuata dhambi za Yeroboamu
"kufanya dhambi zile zile kama Yeroboamu"
# Yehoahazi hakugeuka kutoka kwao
Hapa kusimama dhambi yake inazungumziwa kana kwamba amerudi kutoka kwao. Hii pia inaweza kuelezwa katika muundo chanya. "Yehoyazi hakuacha kufanya dhambi za Yeroboamu" au "Yehoyazi aliendelea kufanya dhambi zile zile kama Yeroboamu"