sw_tn/2ki/11/19.md

591 B

Maelzo ya Jumla:

Wamemchukua mfalme mpya, Yoashi, kutoka kwenye hekalu hata kwenye nyumba ya mfalme.

mamia ya makamanda

Hii inareje kwa maafisa waliowashangaza walinzi na walinzi wa nyumba ya mfalme.

Wakari

Hili ni jina la kundi maalumu la walinzi wa kifalme.

wakamleta chini mfalme kutoka kwenye nyumba ya Yahwe na wakaenda kwenye nyumba ya mfalme

"kumleta mfalme kutoka kwenye hekalu hadi kwenye nyumba ya mfalme"

watu wote wa nchi furahini

Hii ni kujumuisha. Inawezekana kwamba wengine hawakufurahi.

mji ulikuwa kimya

"mji ulikuwa shwari" au "mji ulikuwa na amani"