sw_tn/2ki/11/19.md

24 lines
591 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelzo ya Jumla:
Wamemchukua mfalme mpya, Yoashi, kutoka kwenye hekalu hata kwenye nyumba ya mfalme.
# mamia ya makamanda
Hii inareje kwa maafisa waliowashangaza walinzi na walinzi wa nyumba ya mfalme.
# Wakari
Hili ni jina la kundi maalumu la walinzi wa kifalme.
# wakamleta chini mfalme kutoka kwenye nyumba ya Yahwe na wakaenda kwenye nyumba ya mfalme
"kumleta mfalme kutoka kwenye hekalu hadi kwenye nyumba ya mfalme"
# watu wote wa nchi furahini
Hii ni kujumuisha. Inawezekana kwamba wengine hawakufurahi.
# mji ulikuwa kimya
"mji ulikuwa shwari" au "mji ulikuwa na amani"