sw_tn/2ki/11/01.md

968 B

Athalia ... Yehosheba ... Yoashi

watoto wa mfalme

kuona kwamba mtoto wake alikuwa amekufa

"kuwa makini kwamba mtoto wake alikuwa amekufa"

aliinuka na kuwaua watoto wote wa kifalme

Athalia hakuwaua watoto mwenyewe. "aliwaamuru watumishi wake kuwaua idadi yote ya familia ya Ahazia walioweza kuwa wafalme"

akamchukua Yoashi mwana wa Ahazia, na kumficha mbali mwa miongoni mwa watoto wa mfalme waliokuwa wameuawa, wakati wote pamoja na mlezi wake; akawaweka kwenye chumba cha kulala. Wakamficha kutoka Athalia kwa hiyo hakuuawa

"akamchukua mtoto mdogo sana wa Ahazia Yoashi na kumficha na mhudumu wake katika chumba cha kulala katika hekalu. Hivyo hakuuawa." (UDB)

Alikuwa pamoja na Yehosheba, wamejificha kwenye nyumba ya Yahwe, kwa mda wa miaka sita, wakati Athalia alipotawala juu ya nchi

Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Yoashi na Yehosheba alijificha miaka sita katika nyumba ya Yahwe kama Athalia alivyoongoza nchi"

nchi

"ufalme"