forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
968 B
Markdown
24 lines
968 B
Markdown
|
# Athalia ... Yehosheba ... Yoashi
|
||
|
|
||
|
watoto wa mfalme
|
||
|
|
||
|
# kuona kwamba mtoto wake alikuwa amekufa
|
||
|
|
||
|
"kuwa makini kwamba mtoto wake alikuwa amekufa"
|
||
|
|
||
|
# aliinuka na kuwaua watoto wote wa kifalme
|
||
|
|
||
|
Athalia hakuwaua watoto mwenyewe. "aliwaamuru watumishi wake kuwaua idadi yote ya familia ya Ahazia walioweza kuwa wafalme"
|
||
|
|
||
|
# akamchukua Yoashi mwana wa Ahazia, na kumficha mbali mwa miongoni mwa watoto wa mfalme waliokuwa wameuawa, wakati wote pamoja na mlezi wake; akawaweka kwenye chumba cha kulala. Wakamficha kutoka Athalia kwa hiyo hakuuawa
|
||
|
|
||
|
"akamchukua mtoto mdogo sana wa Ahazia Yoashi na kumficha na mhudumu wake katika chumba cha kulala katika hekalu. Hivyo hakuuawa." (UDB)
|
||
|
|
||
|
# Alikuwa pamoja na Yehosheba, wamejificha kwenye nyumba ya Yahwe, kwa mda wa miaka sita, wakati Athalia alipotawala juu ya nchi
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Yoashi na Yehosheba alijificha miaka sita katika nyumba ya Yahwe kama Athalia alivyoongoza nchi"
|
||
|
|
||
|
# nchi
|
||
|
|
||
|
"ufalme"
|