sw_tn/2ki/10/32.md

28 lines
432 B
Markdown

# kupunguza mikoa ya Israeli
"kuanza kusababisha himaya iliyotawaliwa na Israeli kuwa ndogo"
# mikoa
"maeneo ya nchi"
# Hazaeli kuwashinda
Hapa "Hazaeli" inamrejea mwenyewe na jeshi lake. "Hazaeli na jeshi lake"
# Hazaeli
Hili lilikuwa jina la kiume
# kutoka magharibi mwa Yordani
"kutoka kwenye nchi mashariki ya Yordani"
# Aroeri ... Bashani
Haya yote ni majina ya sehemu.
# Arnoni
"Mto Arnnoni" Hili ni jina la mto.