sw_tn/2ki/10/32.md

432 B

kupunguza mikoa ya Israeli

"kuanza kusababisha himaya iliyotawaliwa na Israeli kuwa ndogo"

mikoa

"maeneo ya nchi"

Hazaeli kuwashinda

Hapa "Hazaeli" inamrejea mwenyewe na jeshi lake. "Hazaeli na jeshi lake"

Hazaeli

Hili lilikuwa jina la kiume

kutoka magharibi mwa Yordani

"kutoka kwenye nchi mashariki ya Yordani"

Aroeri ... Bashani

Haya yote ni majina ya sehemu.

Arnoni

"Mto Arnnoni" Hili ni jina la mto.