sw_tn/2ki/10/25.md

720 B

aliwaambia mlinzi na manahodha

Yehu alitoka nje ya hekalu kabla ya kunena na mlinzi. "alirudi nje ya hekalu la Baali na kuwaambia walinzi na manahodha"

kwa ukali wa upanga

Kisha watu wakatumia panga kuwaua wamwabuduo Baali. Hili neno linarejea kwa panga zao. "pamoja na panga zao" (UDB)

wakawatupa nje

Hii inamaanisha kwamba walizitupa maiti nje za watu ya hekalu. "walizitupa maiti zao nje ya hekalu"

kuifanya choo

"kuifanya choo cha uma" Choo ni chumba cha kuogea, au eneo la choo, kawaida kwa ajili ya kambi au majengo yalitumika kwa nyumba ya maaskari.

ambacho kipo hadi leo

Hii inamaanisha kwamba hicho kitu kilichosalia katika hali flani hadi wakati huu. "na tangu hapo ilikuwa hivyo siku zote"