sw_tn/2ki/10/25.md

20 lines
720 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# aliwaambia mlinzi na manahodha
Yehu alitoka nje ya hekalu kabla ya kunena na mlinzi. "alirudi nje ya hekalu la Baali na kuwaambia walinzi na manahodha"
# kwa ukali wa upanga
Kisha watu wakatumia panga kuwaua wamwabuduo Baali. Hili neno linarejea kwa panga zao. "pamoja na panga zao" (UDB)
# wakawatupa nje
Hii inamaanisha kwamba walizitupa maiti nje za watu ya hekalu. "walizitupa maiti zao nje ya hekalu"
# kuifanya choo
"kuifanya choo cha uma" Choo ni chumba cha kuogea, au eneo la choo, kawaida kwa ajili ya kambi au majengo yalitumika kwa nyumba ya maaskari.
# ambacho kipo hadi leo
Hii inamaanisha kwamba hicho kitu kilichosalia katika hali flani hadi wakati huu. "na tangu hapo ilikuwa hivyo siku zote"