sw_tn/2ki/10/06.md

1.0 KiB

mara ya pili

"mara ya 2"

upande wangu

Kuwa "upande wa mwingine" inamaanisha kuwa mttifu kwao na kuwasaidia. "mwaminifu kwangu"

sikia

kusikiliza na kutii

sauti yangu

Hapa "sauti" ya Yehu inarejea kile akisemacho. "kwa kile asemacho"

mtachukua vichwa ... na mje kwangu

Inaonyesha kwamba wanatakiwa kuleta vichwa vya uzao wa Ahabu na kuviweka kwa Yehu. "mtachukua vichwa ... na kuvileta kwangu"

mtachukua vichwa ... na mje kwangu

Inaonyesha kwamba wanatakiwa kuleta vichwa kwa uzao wa Ahabu na kuviweka kwa Yehu. "mtavichukua vichwa ... na kuvileta kwangu"

mtachukua vichwa vya watu wa uzao wa bwana wenu

Hii inarejea kuwaua na kuwaondoa vichwa vyao. "kuua uzao wa bwana wenu na kuvikata vichwa vyao"

sabini katika namba ... watu sabini

"70 katika namba ... watu 70"

waliokuwa wakiwapandisha juu

Hii inamaanisha kwamba walikuwa wakiwasimamia na kuwafundisha. "waliokuwa wakiwalea" au "waliokuwa wakiwasimamia"

na kuwapeleka kwa Yehu

Hii inaanisha kwamba waliwatuma watu kupeleka vikapu kwa Yehu. "na kuwapeleka watu kuwachukua kwa Yehu"