sw_tn/2ki/10/06.md

40 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mara ya pili
"mara ya 2"
# upande wangu
Kuwa "upande wa mwingine" inamaanisha kuwa mttifu kwao na kuwasaidia. "mwaminifu kwangu"
# sikia
kusikiliza na kutii
# sauti yangu
Hapa "sauti" ya Yehu inarejea kile akisemacho. "kwa kile asemacho"
# mtachukua vichwa ... na mje kwangu
Inaonyesha kwamba wanatakiwa kuleta vichwa vya uzao wa Ahabu na kuviweka kwa Yehu. "mtachukua vichwa ... na kuvileta kwangu"
# mtachukua vichwa ... na mje kwangu
Inaonyesha kwamba wanatakiwa kuleta vichwa kwa uzao wa Ahabu na kuviweka kwa Yehu. "mtavichukua vichwa ... na kuvileta kwangu"
# mtachukua vichwa vya watu wa uzao wa bwana wenu
Hii inarejea kuwaua na kuwaondoa vichwa vyao. "kuua uzao wa bwana wenu na kuvikata vichwa vyao"
# sabini katika namba ... watu sabini
"70 katika namba ... watu 70"
# waliokuwa wakiwapandisha juu
Hii inamaanisha kwamba walikuwa wakiwasimamia na kuwafundisha. "waliokuwa wakiwalea" au "waliokuwa wakiwasimamia"
# na kuwapeleka kwa Yehu
Hii inaanisha kwamba waliwatuma watu kupeleka vikapu kwa Yehu. "na kuwapeleka watu kuwachukua kwa Yehu"