sw_tn/2ki/10/04.md

932 B

Lakini waliogopa

"Kisha waliogopa"

wafalme wawili

"wafalme wawili, Yoramu na Ahazia"

wasingeweza kusismama mbele ya Yehu

Hapa "simama" inamaanisha kuweza kustahimili chini ya shida. "wasingeweza kustahimili juu ya Yehu" au "wasingeweza kumpinga Yehu"

Hivyo tunawezaje kusimama?

Uzao unatumia swali lisilohitaji jibu kuonyesha kwamba hawawezi kusimama juu ya Yehu. "Hatuwezi kusimama juu yake popote!" au "Hatuwezi kumpinga popote!"

huyo mtu aliyekuwa juu ya mji

"meya wa mji" (UDB). Hapa kuwa "mwisho" kitu inamaanisha kuwa na mamlaka na wajibu juu yake. "yule mtu aliyekuwa msimamizi wa mji"

wale waliowalea watoto

Hii inarejea kwa watu waliowalea watoto wa mfalme. "wale waliowalea watoto wa mfalme"

Fanya kilicho chema katika macho yako

Hapa "mcho" ya Yehu inarejea kwa "uso" wake. "Uso" wake inarejea kwa kile afikiriacho. "Fanya kilicho chema katika uso wako" au "Fanya chochote ufikiriacho ni bora"