forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
932 B
Markdown
28 lines
932 B
Markdown
|
# Lakini waliogopa
|
||
|
|
||
|
"Kisha waliogopa"
|
||
|
|
||
|
# wafalme wawili
|
||
|
|
||
|
"wafalme wawili, Yoramu na Ahazia"
|
||
|
|
||
|
# wasingeweza kusismama mbele ya Yehu
|
||
|
|
||
|
Hapa "simama" inamaanisha kuweza kustahimili chini ya shida. "wasingeweza kustahimili juu ya Yehu" au "wasingeweza kumpinga Yehu"
|
||
|
|
||
|
# Hivyo tunawezaje kusimama?
|
||
|
|
||
|
Uzao unatumia swali lisilohitaji jibu kuonyesha kwamba hawawezi kusimama juu ya Yehu. "Hatuwezi kusimama juu yake popote!" au "Hatuwezi kumpinga popote!"
|
||
|
|
||
|
# huyo mtu aliyekuwa juu ya mji
|
||
|
|
||
|
"meya wa mji" (UDB). Hapa kuwa "mwisho" kitu inamaanisha kuwa na mamlaka na wajibu juu yake. "yule mtu aliyekuwa msimamizi wa mji"
|
||
|
|
||
|
# wale waliowalea watoto
|
||
|
|
||
|
Hii inarejea kwa watu waliowalea watoto wa mfalme. "wale waliowalea watoto wa mfalme"
|
||
|
|
||
|
# Fanya kilicho chema katika macho yako
|
||
|
|
||
|
Hapa "mcho" ya Yehu inarejea kwa "uso" wake. "Uso" wake inarejea kwa kile afikiriacho. "Fanya kilicho chema katika uso wako" au "Fanya chochote ufikiriacho ni bora"
|