sw_tn/2ki/09/23.md

16 lines
355 B
Markdown

# akarudisha magari yake ya farasi na kukimbia
"akageuza gari lake la farasi kuzunguka kujaribu kukimbia"
# udanganyifu
udanganyifu au hila
# kwa nguvu zake zote
"kwa nguvu zake zote" au "kwa uwezo wake wote"
# akaanguka chini kwenye gari lake la farasi
Yoramu akafa kwa kupigwa na mshale. "Yoramu akaanguka chini akafa katika gari lake la farasi"