sw_tn/2ki/09/23.md

355 B

akarudisha magari yake ya farasi na kukimbia

"akageuza gari lake la farasi kuzunguka kujaribu kukimbia"

udanganyifu

udanganyifu au hila

kwa nguvu zake zote

"kwa nguvu zake zote" au "kwa uwezo wake wote"

akaanguka chini kwenye gari lake la farasi

Yoramu akafa kwa kupigwa na mshale. "Yoramu akaanguka chini akafa katika gari lake la farasi"