sw_tn/2ki/09/19.md

610 B

Kisha akapeleka mpanda farasi wa pili, ambaye alikuja kwao

"Kisha mfalme Yoramu akamtuma mjumbe kuendesha farasi, ambaye alitoka nje kumlaki Yehu na jeshi lake"

mtu wa pili

"mtu wa 2"

Wewe una nini na amani

Yehu anatumia hili swali lisilohitaji majibu kumwambia mjumbe kwamba haimuhusu kama akija kwa amani au hapana. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. ""Haiko juu yako kujua kama nimekuja kwa amani!"

Kwa kuwa hilo gari la farasi limekuwa likiendeshwa ndivyo ambavyo Yehu mwana wa Nimshi aendeshavyo

"Kwa sababu dereva wa gari la farasi huendesha kama ambavyo yehu mwana wa Namshi huendesha"