forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
610 B
Markdown
16 lines
610 B
Markdown
|
# Kisha akapeleka mpanda farasi wa pili, ambaye alikuja kwao
|
||
|
|
||
|
"Kisha mfalme Yoramu akamtuma mjumbe kuendesha farasi, ambaye alitoka nje kumlaki Yehu na jeshi lake"
|
||
|
|
||
|
# mtu wa pili
|
||
|
|
||
|
"mtu wa 2"
|
||
|
|
||
|
# Wewe una nini na amani
|
||
|
|
||
|
Yehu anatumia hili swali lisilohitaji majibu kumwambia mjumbe kwamba haimuhusu kama akija kwa amani au hapana. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. ""Haiko juu yako kujua kama nimekuja kwa amani!"
|
||
|
|
||
|
# Kwa kuwa hilo gari la farasi limekuwa likiendeshwa ndivyo ambavyo Yehu mwana wa Nimshi aendeshavyo
|
||
|
|
||
|
"Kwa sababu dereva wa gari la farasi huendesha kama ambavyo yehu mwana wa Namshi huendesha"
|