sw_tn/2ki/09/17.md

404 B

mlinzi

"ulinzi"

lile kundi la Yehu alipokuwa akija kwa mbali kidogo

"Yehu na watu wake walipokuwa bado wako mbali"

Unataka kufanya nini na amani?

Yehu anatumia swali lisilohitaji jibu kumwambia mjumbe kwamba haimuhusu kama akija katika amani au hapana.

Mjumbe amekutana nao, lakini harudi

Mlinzi alimwambia Mfalme Yoramu kwamba yule mtu aliyemtuma harudi pamoja majibu ya swali la mfalme.