sw_tn/2ki/09/17.md

16 lines
404 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mlinzi
"ulinzi"
# lile kundi la Yehu alipokuwa akija kwa mbali kidogo
"Yehu na watu wake walipokuwa bado wako mbali"
# Unataka kufanya nini na amani?
Yehu anatumia swali lisilohitaji jibu kumwambia mjumbe kwamba haimuhusu kama akija katika amani au hapana.
# Mjumbe amekutana nao, lakini harudi
Mlinzi alimwambia Mfalme Yoramu kwamba yule mtu aliyemtuma harudi pamoja majibu ya swali la mfalme.