sw_tn/2ki/08/16.md

488 B

Maelezo ya Jumla:

Yohoramu akawa mfalme wa Yuda.

Katika mwaka wa tano wa Yoramu mwana wa Ahabu, mfalme wa Israeli

Hii inaeleza kipindi ambacho Yehoramu alipoanza kutawala kueleza mda gani Yoramu, mfalme aliyepo wa Israeli, alitawala. "Katika tano ambao Yoramu mwana wa Ahabu alipokuwa mfalme wa Israeli"

mwaka wa tano

"mwaka wa 5"

Yoramu alianza kutawala

Yoramu, mwana wa Yehoshafati, akawa mfalme wa Yuda.

umri wa miaka kumi na mbili

umri wa miaka miwili - "miaka 32"